PRE-FORM ONE 2019

TANGAZO

SHULE YA SEKONDARI HUMURA ILIYOKO RUBYA WILAYANI MULEBA MKOA WA KAGERA INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA “PRE – FORM ONE” KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA DARASA LA SABA. HII NI KWA AJILI YA KUWAANDAA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MASOMO YA SEKONDARI. MASOMO YA PRE – FORM ONE YATAANZA TAREHE 23/9/2019 MPAKA  13/12/2019.
GHARAMA YA MASOMO NI SH.40,000/= KWA WANAFUNZI WA KUTWA
NA KWA WANAFUNZI WA BWENI WATALIPA SH.140,000/= TU.
PIA SHULE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA 2020. NJOO UCHUKUE FOMU YA MAELEKEZO YA KUFANYA MTIHANI WA KUJIUNGA NA SHULE HAPA SHULENI AU TEMBELEA TOVUTI YA SHULE www.humurass.com AU BLOG YA SHULE humurass.blogspot.com  AMBAPO UTAPATA MAELEKEZO ZAIDI. MTIHANI WA KUJIUNGA UTAFANYIKA TAREHE 19/10/2019. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NA. 0754749472/0788052090.

IMETOLEWA NA UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI HUMURA

Comments

Popular posts from this blog

PICHA MBALIMBALI ZA SHULE

NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2021/2022