USAJILI KIDATO CHA TANO MWAKA WA MASOMO 2019/2020
Kutoka ofisi ya taaluma humura Shule ya sekondari Humura inapenda kuwajulisha wazazi na wanafunzi wote kuwa imeanza usajili kwa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2019/2020. Wanafunzi wote wenye vigezo vya kufanya mtihani wa kidato cha sita yaani akiwa na daraja C kwa masomo matatu. Na asiwe na daraja F kwenye mchepuo wake. Michepuo ambayo inasajiliwa mpaka sasa na ambayo inafundishwa shuleni ni HGK, HKL, HGL na CBG. Pia shule inakaribisha wanafunzi wa kuristi (re-seaters) kidato cha sita nafasi zipo na uhakika wa kupata kile ulichokikosa ni asilimia mia moja. Karibu Humura kisima cha elimu kwetu sifuri na division IV ni mwiko. Kwa mawasiliano piga simu namba 0754749472 0762656854