Form ya kidato cha Tano 2019
Shule ya secondari humura inakaribisha maombi ya kujiunga kidato cha tano kwa wanafunzi watakaokuwa na vigezo kulingana na mwongozo wa baraza la mitihani Tanzania Fomu ya kujiunga inapatikana katika link hapo chini
Shule ya sekondari Humura ni shule ya binafsi yenye usajili wa namba 0696 inatoa elimu bora na ina ada nafuu kabisa. Inafundisha masomo kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha sita. Inafundisha tahasusi za PCB, CBG, HGL, HGK, na HKL KARIBUNI SANA NYOTE