Mkuu wa shule Shule ya sekondari humura ni shule ya bweni iliyoko wilayani Muleba mkoani Kagera inapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa wanafunzi wa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2021/2022. Shule inatoa masomo katika tahasusi (combination) zifuatazo: PCB, CBG, HGL, HGK, na HKL Sifa za mwombaji Awe na ufaulu wa kuanzia alama ya C na kupanda juu katika masomo matatu katika mtihani wa kidato cha nne. Asiwe na alama ya "F" katika tahasusi(combination) anayotarajia kuisoma. Na iwapo muombaji hana sifa ya 2. Kama ilivyotajwa hapo juu basi atasajiliwa kama private candidate ila ataishi shule na kufundishwa kama wanafunzi wengine wanaofanya kama watahiniwa wa shule Pia shule ina nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaopenda kuhamia kwa kidato cha KWANZA, PILI, TATU NA TANO Pia shule ina nafasi za masomo na kituo cha kufanyia mtihani kwa wanafunzi waliokosa credit pass kwenye mitihani yao ya kidato cha nne na sita kwa mwaka wowote wa nyuma, shule inawasajili na kuwaw...
Nawaona kaz njema
ReplyDeleteI need joining instructions of form five
ReplyDeleteI need joining instructions for form five
Delete