PICHA MBALIMBALI ZA SHULE
Shule ya sekondari humura imebarikiwa kuwa na mandhari nzuri kwa wanafunzi na walimu na ina majengo mazuri na yenye kukidhi mahitaji ya kila muhitaji. Hizi ni baadhi ya picha zikionesha baadhi ya madarasa.
uoto wa kutosha upo kwa wasomao |
maabara za jutosha kwa masomo yote ta sayansi |
baadhi ya ofisi za idara mbalimbali |
baadhi ya madarasa |
madarasa |
utajiri wa maji upo wa kutosha kama ilivyo desturi ya kagera |
Nataka kuwa mwanafunzi wa humula sec Ila connection Sina naomba msaada namba ya simu ni 0621885218
ReplyDeleteKuna mdogo wangu anataka kujiunga na hiyo shule ila anahamia kutoka shule nyingine anakuja kuanza kidato Cha 6
ReplyDeleteIpo mkoa gani
ReplyDelete