HUMURA KIWANDA CHA KUINUA VIPAJI

HUMUARA PACHA WA MICHEZO

Baadhi ya wanamichezo wa copa cocacola
Shule ya sekondari ya Humura imekuwa mdau mkubwa wa michezo na pia kimekuwa kiwanda cha kuinua vipaji mbali mbali vya kuimba, kucheza na kuigiza. 
Njoo na mwanao humura sekondari na hupate kile kilicho zaidi ya unachotegemea

KWA MAWASILIANO ZAIDI
0754749472
0762656854

Comments

Popular posts from this blog

PICHA MBALIMBALI ZA SHULE

NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2021/2022