NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA TANO 2020
Shule ya sekondari humura iliyoko wilaya ya Muleba karibu na hospitali teule ya wilaya Rubya Hospital inawatangazia nafasi za masomo ya kidato cha tano kwa mwaka 2020.
- Shule ina tahasusi za HKL, HGL, HGK, CBG na PCB
- Shule imekuwa na matokeo mazuri kwa miaka yote tokea kuanzishwa kwa masomo ya advance
- Ina walimu waliobobea na bora kwa vijana wa kizazi ichi cha sayansi na teknolojia
- Shule ina mazingira rafiki na mazuri ya kusoma
- Masomo ya ziada yanatolewa bure kabisa
- Cha kupenda zaidi karo ni rafiki kwa familia ya uwezo wowote
FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA
Kwa mawasiliano piga simu
0752 749 472 Mkuu wa shule
0755 717 597 Makamu mkuu wa shule
0862 656 854 Ofisi ya taaluma
Karibu sana
Kwetu elimu ni mwanga
Comments
Post a Comment