TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA 2020


Shule ya sekondari Humura iliyoko wilaya ya muleba mkoa wa kagera umbali wa kilometa 30 kutokea Muleba mjini inawatangazia nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2020. 
Shule inayo mandhari nzuri ya kujisomea pia ina walimu waliobobea katika ufundishaji. Inatoa mwanya kwa wasomaji kuwa huru na kufaidi kile wanachokitafuta.
Mbali na kuwa na ghalama nafuu pia hutoa masomo ya ziada bila malipo yoyote kwa wanafunzi wote. 
Fomu ya kujiunga inapatikana katika link hapa chini
Pia shule inazo nafasi za kuhamia kwa kidato cha II,III na V. Pia inatoa mafunzo kwa wanafunzi wanatafuta credit (re-seaters) 
Sisi kwetu Humura elimu ni mwanga

Mlete mwanao Humura ushuhudie maajabu yaliyo katika vitendo.
Kwa mawasiliano
  • 0754749472 mkuu wa shule 
  • 0755 717 597 makamu mkuu wa shule
  • 0753 015 231 Mtaaluma mkuu

Comments

Popular posts from this blog

PICHA MBALIMBALI ZA SHULE

NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2021/2022