Posts

Showing posts from 2020

NAFASI YA MASOMO KIDATO CHA TANO

Image
Karibu Humura secondary school, kwa mwaka wa masomo 2020 tunapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, cha tatu na cha tano kwa kidato cha tano tunafundisha michepuo ya CBG PCB HGK HKL HGL Karibu nyote Kwa mawasiliano 0752749472

NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA TANO 2020

Shule ya sekondari humura iliyoko wilaya ya Muleba karibu na hospitali teule ya wilaya Rubya Hospital inawatangazia nafasi za masomo ya kidato cha tano kwa mwaka 2020. Shule ina tahasusi za HKL, HGL, HGK, CBG na PCB Shule imekuwa na matokeo mazuri kwa miaka yote tokea kuanzishwa kwa masomo ya advance Ina walimu waliobobea na bora kwa vijana wa kizazi ichi cha sayansi na teknolojia Shule ina mazingira rafiki na mazuri ya kusoma Masomo ya ziada yanatolewa bure kabisa Cha kupenda zaidi karo ni rafiki kwa familia ya uwezo wowote FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA   Kwa mawasiliano piga simu  0752 749 472 Mkuu wa shule  0755 717 597 Makamu mkuu wa shule  0862 656 854 Ofisi ya taaluma Karibu sana Kwetu elimu ni mwanga