Posts

KARIBU KUTEMBELEA WEBSITE RASMI YA SHULE YA SEKONDARI HUMURA

Sasa shule ya sekondari humura inapenda kuwajulisha kuwa kwa sasa wanapatikana rasmi kwenye website rasmi ya shule. Hivyo kwa taarifa za shule na maelezo mengine ya shule ya sekondari humura tafadhari tembelea www.humurasecondary.sc.tz

NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2021/2022

Image
Mkuu wa shule Shule ya sekondari humura ni shule ya bweni iliyoko wilayani Muleba mkoani Kagera inapenda kuwatangazia nafasi za masomo kwa wanafunzi wa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2021/2022. Shule inatoa masomo katika tahasusi (combination) zifuatazo: PCB, CBG, HGL, HGK, na HKL   Sifa za mwombaji  Awe na ufaulu wa kuanzia alama ya C na kupanda juu katika masomo matatu katika mtihani wa kidato cha nne. Asiwe na alama ya "F" katika tahasusi(combination) anayotarajia kuisoma. Na iwapo muombaji hana sifa ya 2. Kama ilivyotajwa hapo juu basi atasajiliwa kama private candidate ila ataishi shule na kufundishwa kama wanafunzi wengine wanaofanya kama watahiniwa wa shule Pia shule ina nafasi za masomo kwa wanafunzi wanaopenda kuhamia kwa kidato cha KWANZA, PILI, TATU NA TANO  Pia shule ina nafasi za masomo na kituo cha kufanyia mtihani kwa wanafunzi waliokosa credit pass kwenye mitihani yao ya kidato cha nne na sita kwa mwaka wowote wa nyuma, shule inawasajili na kuwaw...

NAFASI YA MASOMO KIDATO CHA TANO

Image
Karibu Humura secondary school, kwa mwaka wa masomo 2020 tunapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, cha tatu na cha tano kwa kidato cha tano tunafundisha michepuo ya CBG PCB HGK HKL HGL Karibu nyote Kwa mawasiliano 0752749472

NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA TANO 2020

Shule ya sekondari humura iliyoko wilaya ya Muleba karibu na hospitali teule ya wilaya Rubya Hospital inawatangazia nafasi za masomo ya kidato cha tano kwa mwaka 2020. Shule ina tahasusi za HKL, HGL, HGK, CBG na PCB Shule imekuwa na matokeo mazuri kwa miaka yote tokea kuanzishwa kwa masomo ya advance Ina walimu waliobobea na bora kwa vijana wa kizazi ichi cha sayansi na teknolojia Shule ina mazingira rafiki na mazuri ya kusoma Masomo ya ziada yanatolewa bure kabisa Cha kupenda zaidi karo ni rafiki kwa familia ya uwezo wowote FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA   Kwa mawasiliano piga simu  0752 749 472 Mkuu wa shule  0755 717 597 Makamu mkuu wa shule  0862 656 854 Ofisi ya taaluma Karibu sana Kwetu elimu ni mwanga

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA 2020

Shule ya sekondari Humura iliyoko wilaya ya muleba mkoa wa kagera umbali wa kilometa 30 kutokea Muleba mjini inawatangazia nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2020.  Shule inayo mandhari nzuri ya kujisomea pia ina walimu waliobobea katika ufundishaji. Inatoa mwanya kwa wasomaji kuwa huru na kufaidi kile wanachokitafuta. Mbali na kuwa na ghalama nafuu pia hutoa masomo ya ziada bila malipo yoyote kwa wanafunzi wote.  Fomu ya kujiunga inapatikana katika link hapa chini Joining instruction form 1 2019 Pia shule inazo nafasi za kuhamia kwa kidato cha II,III na V. Pia inatoa mafunzo kwa wanafunzi wanatafuta credit (re-seaters)  Sisi kwetu Humura elimu ni mwanga Mlete mwanao Humura ushuhudie maajabu yaliyo katika vitendo. Kwa mawasiliano 0754749472 mkuu wa shule   0755 717 597 makamu mkuu wa shule 0753 015 231 Mtaaluma mkuu

PRE-FORM ONE 2019

Image
TANGAZO SHULE YA SEKONDARI HUMURA ILIYOKO RUBYA WILAYANI MULEBA MKOA WA KAGERA INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA “PRE – FORM ONE” KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA DARASA LA SABA. HII NI KWA AJILI YA KUWAANDAA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MASOMO YA SEKONDARI. MASOMO YA PRE – FORM ONE YATAANZA TAREHE 23/9/2019 MPAKA  13/12/2019. GHARAMA YA MASOMO NI SH.40,000/= KWA WANAFUNZI WA KUTWA NA KWA WANAFUNZI WA BWENI WATALIPA SH.140,000/= TU. PIA SHULE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA KIDATO CHA KWANZA 2020. NJOO UCHUKUE FOMU YA MAELEKEZO YA KUFANYA MTIHANI WA KUJIUNGA NA SHULE HAPA SHULENI AU TEMBELEA TOVUTI YA SHULE www.humurass.com AU BLOG YA SHULE humurass.blogspot.com  AMBAPO UTAPATA MAELEKEZO ZAIDI. MTIHANI WA KUJIUNGA UTAFANYIKA TAREHE 19/10/2019. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NA. 0754749472/0788052090. IMETOLEWA NA UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI HUMURA

HUMURA KIWANDA CHA KUINUA VIPAJI

Image
HUMUARA PACHA WA MICHEZO Baadhi ya wanamichezo wa copa cocacola Shule ya sekondari ya Humura imekuwa mdau mkubwa wa michezo na pia kimekuwa kiwanda cha kuinua vipaji mbali mbali vya kuimba, kucheza na kuigiza.  Njoo na mwanao humura sekondari na hupate kile kilicho zaidi ya unachotegemea KWA MAWASILIANO ZAIDI 0754749472 0762656854